MREMBO wa jijini Dar es Salaam, Latricia Ian ameandika historia baada ya kutwaa taji la kwanza kabisa la Miss World Tanzania ...
Dar es Salaam. Tanzania imeandika historia mpya kwenye ramani ya dunia baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa mwenyeji wa ...
DAR ES SALAAM: Kadri siku zinavyosogea kuelekea mwezi Julai, macho ya Watanzania na dunia yanaelekezwa Hifadhi ya Taifa ya ...
Siku chache zijazo tutauhitimisha mwaka uliokuwa na mambo mengi wa 2025. Ulikuwa na mambo mengi kisiasa na kimichezo. Lakini makala haya yana lengo la kutazama matukio makubwa katika uwanda wa michezo ...
Wawakilishi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika - AFCON 2025, wanatupa karata zao za kwanza uwanjani leo Jumanne. Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ...
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya matangazo ya michezo ya SuperSport kwa kushirikiana na DStv imetangaza kuwa itarusha mubashara ...
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Sudan kusherehekea kambi ya kwanza kabisa ya ndondi ya wanawake nchini humo, Nairobi itakuwa mwenyeji wa michuano ya kufuzu ligi ya afrika ya basketboli mwezi huu, ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...
Licha ya Tanzania, kupambana kiume uwanjani, bao la mshambuliaji Brahim Diaz, katika dakika ya 64, lilitosha kuipeleka Morocco, katika hatua ya robo fainali na sasa itamenyana na Cameroon Januari 09.